Ukwel mtupu
Member
- Jan 30, 2014
- 40
- 8
Wakuu mimi mmojawapo wa wahanga waliokosa mkopo mwaka jana 2013/2014 na hivyo kupelekea kuhairisha masomo kutokana na ukata lakin mwaka huu nimeamua niombe chuo upya ili niombe na mkopo tena lakin kinachonikatisha tamaa ni kuwa priority wanapewa fresh from school wakati mim naomba kupitia diploma lakin pia wapo wanaonifariji kuwa mwaka huu idad kubwa itapata loan pamoja na wa diploma kwa kuwa uchaguz mkuu umekaribia hivyo serikali itafanya hivyo ili iweze kupigiwa kura na vijana ambao wapo vyuoni, hadi sasa nimechanganyikiwa kama hayo yanayoongelewa yana ukwel au la maana nahisi kupoteza hela nyingine mwaka huu kama ilivyokuwa mwaka jana halafu nikaambulia patupu. Naombeni mwenye tetesi zozote wakuu kuhusiana na hilo anisaidie ili aweze kunitoa kwenye huu wasiwasi.
Naomba kuwasilisha!!!
Naomba kuwasilisha!!!