Bodi ya mikopo elimu ya juu

Bodi ya mikopo elimu ya juu

Ukwel mtupu

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
40
Reaction score
8
Wakuu mimi mmojawapo wa wahanga waliokosa mkopo mwaka jana 2013/2014 na hivyo kupelekea kuhairisha masomo kutokana na ukata lakin mwaka huu nimeamua niombe chuo upya ili niombe na mkopo tena lakin kinachonikatisha tamaa ni kuwa priority wanapewa fresh from school wakati mim naomba kupitia diploma lakin pia wapo wanaonifariji kuwa mwaka huu idad kubwa itapata loan pamoja na wa diploma kwa kuwa uchaguz mkuu umekaribia hivyo serikali itafanya hivyo ili iweze kupigiwa kura na vijana ambao wapo vyuoni, hadi sasa nimechanganyikiwa kama hayo yanayoongelewa yana ukwel au la maana nahisi kupoteza hela nyingine mwaka huu kama ilivyokuwa mwaka jana halafu nikaambulia patupu. Naombeni mwenye tetesi zozote wakuu kuhusiana na hilo anisaidie ili aweze kunitoa kwenye huu wasiwasi.

Naomba kuwasilisha!!!
 
Wewe n mpuuz na seems hata elmu yako ya dip haijakusaidia,hujui kama kadri sku znavosonga mbele ndo mashart ya mikopo na idad ya watu wenye uhitaj yanaongezeka??u made a huge mistake mara ya kwanza ulpo freez mwaka kwa lengo la kupata mkopo,kama wataka shule we soma bt kama wataka mkopo ndo usome subr mpaka utakapokufata ndo usome,,?hizo maneno n za udaku kwamba watatoa mikopo ili wapewe kura?wanafunz hata milion moja hamfik iweje wawaze mawazo hasi kama hayo?wake up
 
Back
Top Bottom