KERO Bodi ya Mikopo (HESLB) kutangaza nafasi za kazi kwa kuweka mashari ya umri wanatukosea

KERO Bodi ya Mikopo (HESLB) kutangaza nafasi za kazi kwa kuweka mashari ya umri wanatukosea

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Bodi ya Mikopo (HESLB) wametoa nafasi za ajira za mkataba lakini wameweka kigezo cha umri, yaani ambao wanaruhusiwa kuomba ni graduates kuanzia Mwaka 2020-2026.

Kero yangu ni kwamba tatizo la ukosefu wa ajira ni changamoto kubwa lakini bado Taasisi kama hiyo inatoa nafasi za mkataba kwa kuweka vikwazo hivyo.

Je, wametumia sheria gani kutoa tangazo la hivyo, naomba tufikishie malalamiko haya kwa wizara na waziri husika.
 
Back
Top Bottom