Bodi ya mikopo heslb udom yazidi kutesa wanafunzi

Bodi ya mikopo heslb udom yazidi kutesa wanafunzi

Kalinzi

Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
86
Reaction score
14
jinamizi la wanavyuo elimu ya juu linazidi kushika kasi katika nchi hii kwa wanavyuo kuzidi kusoteshwa na bodi ya mikopo HESLB. Katika chuo kikuu cha dodoma UDOM wanafunzi wa mwaka wa kwanza karibia kufa njaa kwa kuwa mpaka sasa hawajapewa pesa zao. sababu za kutopewa pesa mpaka sasa bado hazijulikani na kwa sasa wanashindia mikate kama chakula chao, wahanga wa tatizo hili ni kozi za IR(UHUSIANO WA KIMATAIFA) BAED (WALIMU). MANYANYASO HAYA MPAKA LINI?. siamini sana kuhusu mfumo wa utawala ila nahofia sana kuwa huenda kuna ka mchezo ambako huwa kanachezwa viongozi walioko madarakani na wawakilishi BUNGENI FUMBUENI MACHO hakuna elimu katika njaa UDOM WANAIUA TENA INAKUFA KIBUDU.
MI NAHOFIA SANA KWA HAYA YANAYOFANYIKA KWAMBA SERIKALI HAIJUI KWELI. MUUUUUUUUUUUU NIISHIE HAPA.
 
Man hata huku Sua,baadhi tunashindia mikate,bodi wametupotezea tka oktoba.usiombe yakukute,inavoonyesha hili n dili ya vgogo wa bodi,haiwezekan idadi ya wa2 kuwa kubwa kiasi hk,tusiposhikamana kwa pamoja kukemea hili jambo km wanachuo,utakuwa n mchezo wa kawaida kwa bodi.Leo kwako kesho kwa yule,lets seriously unite for this
 
Back
Top Bottom