Bodi ya mikopo (HESLB) wanachelewesha boom la 3 isivyo kawaida, maisha yanazidi kuwa magumu

Bodi ya mikopo (HESLB) wanachelewesha boom la 3 isivyo kawaida, maisha yanazidi kuwa magumu

The choosen one1

Senior Member
Joined
Dec 13, 2023
Posts
104
Reaction score
436
Zinaelekea siku 80 sasa tangu tupokee boom la 2.
Kwa kawaida boom tunapokea ndani ya siku 60 hadi 70.
Kuchelewesha boom la 3 kiasi hiki bila taarifa yoyote kunawaweka wanafunzi wengi kwenye wakati mgumu.
Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom