T The choosen one1 Senior Member Joined Dec 13, 2023 Posts 104 Reaction score 436 Apr 8, 2026 #1 Zinaelekea siku 80 sasa tangu tupokee boom la 2. Kwa kawaida boom tunapokea ndani ya siku 60 hadi 70. Kuchelewesha boom la 3 kiasi hiki bila taarifa yoyote kunawaweka wanafunzi wengi kwenye wakati mgumu. Naomba kuwasilisha.
Zinaelekea siku 80 sasa tangu tupokee boom la 2. Kwa kawaida boom tunapokea ndani ya siku 60 hadi 70. Kuchelewesha boom la 3 kiasi hiki bila taarifa yoyote kunawaweka wanafunzi wengi kwenye wakati mgumu. Naomba kuwasilisha.
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 Apr 8, 2026 #2 Chuo gani hiko bado mpaka sasa ?
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 8,797 Reaction score 15,762 Apr 8, 2026 #3 Kazeni vijana
mr pipa JF-Expert Member Joined Jul 26, 2021 Posts 4,335 Reaction score 9,286 Apr 8, 2026 #4 Polen sana hawana huruma wanawafanya mpaka mnadanga