Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 861
- 1,547
Habari zenu Wakuu
Bodi ya mikopo leo imeanza kuallocate mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo kutoka vyuo mbali mbali
Inafahamika kwamba allocation ilivyokuwa mwaka jana mtu aliyepata kiasi cha chini ambao mostly 80% walipata hivo ni Tshs 2.7 Million kwa mwaka wa masomo
Yaani ada kila mwanafunzi alilipiwa 230,000 tu mwaka huu kutokana na bajeti iliyoandaliwa wameongeza kutoka 2.7 to 3.0 Million lakini hii haijatugusa Continuous matokeo yake Continuous 2,630,000 ni 70elfu pungufu ya mwaka jana waliyopokea Inshort Continuous wamepunguziwa 70elfu ukilinganisha na kiasi walichopokea mwaka jana
First year wa mwaka huu ada amelipiwa kiasi cha 530,000 huyu ndo wa kiwango cha chini
It is not fair kwa kwelii naona mmefanya hivi kwa kulenga uchaguzi wa 2025 yaani mmewaumiza Continuous ili kuonesha kwa hawa first year kuwa serikali inajali sana watu wake mpaka imepandisha kiasi kutoka 2.7M to 3.0M Shame on you