Bodi ya Mikopo hiki mlichotufanyia continuous ni nini?

Mabadiliko ya bodi ya mkopo huwa hayagusi wanafunzi wanaoendelea.
 
Mabadiliko ya bodi ya mkopo huwa hayagusi wanafunzi wanaoendelea.
Mwaka jana kulikuwa na mabadiliko kwa wanafunzi waliokuwa wanaendelea

Sisi Continuous tumetumika kama mbuzi wa kafara tu kupewa kiasi kidogo sana ili wale watakaokuja nyuma yetu ambao watakuwa ni karibu na uchaguzi mkuu waweze kuongezewa ionekane kama serikali sikivu haijui tu kuwa inawaumiza sana vijana
 
Heri yenu mliopata chochote kitu
Kuna madogo last year walitemwa,mwaka huu as continuous students wametemwa Tena sijui maana kimya kikali huzuni tu
Sawa Mkuu
hl
 
😂
labda ni scholarships za kificho
Wanazingua sana utasema wasio WA uwezo ndio walipa kodi pekee.
 
Heri yenu mliopata chochote kitu
Kuna madogo last year walitemwa,mwaka huu as continuous students wametemwa Tena sijui maana kimya kikali huzuni tu

hl
Batch ya mwisho ndo itawahusu
 
Serikali inajitahidi ila saa nyingine tunaibebesha makosa ya wazazi wetu. Jukumu la kumsomesha mtoto ni la mzazi, Serikali inasaidia tu kutoa mkopo ili kuokoa jahazi hasa kwa wale ambo hawana wazazi. Unakuta mtu ana wazazi wote, badala ya wao kuchakarika ili ada ipatikane, wanailaumu Serikali kwa kutoa kiwango kidogo cha mikopo.
 
60k sio ya kulalamika hivi pambana
Inakatisha tamaa mkuu
Ada wanakulipia laki mbili na thelathini hapo mtu unakipengele cha kulipa 1.1 Million ya ada kutoka katika hilo hilo boom then wao wanapunguza tena 70k halafu hawa wa sasa wamewapandishia wanawalipia laki 5 kwa maana wao wenyew wameona haitoshi mpaka wakapandisha
 
Maisha ni magumu jamani tuache kudanganyana humu.
Huku tu mtaani Wazazi hao hao ni wagonjwa,wanasaidia ndugu kibao,mishahara ni hiyo hiyo miaka nenda rudi jamani
sha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…