Bodi ya mikopo, hiki ni nini?

Bodi ya mikopo, hiki ni nini?

Tuache uongo wakuu, sometimes ndio mana tunapopinga tunaonekana wapuuzi,
Kucertify vyeti toka lini ikawa ni pesa za serikali? Si tuna certify kwa wanasheria wetu mtaani huku buku tano cheti tena hii pesa haina risit wala haikatwi kodi
Mwanasheria analipia muhuri, kwaiyo ule muuri wake ni kodi ya serikali hata kama haina risiti
 
Nina swali.
Mtu kwao ni iringa na kwenye fomu ya mkopo amejaza hivyo lakini chuo ni morogoro.
Je Ni lazima mwenyekiti wa mtaa na mjumbe awe wa iringa kule aliikotokea?
 
Back
Top Bottom