Tuache uongo wakuu, sometimes ndio mana tunapopinga tunaonekana wapuuzi,
Kucertify vyeti toka lini ikawa ni pesa za serikali? Si tuna certify kwa wanasheria wetu mtaani huku buku tano cheti tena hii pesa haina risit wala haikatwi kodi
Nina swali.
Mtu kwao ni iringa na kwenye fomu ya mkopo amejaza hivyo lakini chuo ni morogoro.
Je Ni lazima mwenyekiti wa mtaa na mjumbe awe wa iringa kule aliikotokea?