Wissman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,012
- 1,284
wanafunzi wengi wanaojaza fomu za mikopo wanakumbana na tatizo la kutoweza kuprint form zao baada ya kulog out kisha kuja kuiprint baadae. mimi binafsi nimekumbana na tatizo hilo na hadi sasa hakuna ufumbuzi wowote. nimemsaidia dogo angu kujaza form ya mkopo online nikiwa hom na laptop yangu cha ajabu naenda kuiprint stationary naletewa message "You have One (1) step remaining to complete your application
[h=3] Please check the data you have entered by clicking on the left hand side menu and click Confirm Button [/h]
You have not confirmed Post Form IV Education Information"
tatizo ni nini hasa jamani vijana wanashindwa kumaliza mchakato haraka kwa tatizo hili. mwendelezo ni kwamba nimeshacomferm every steps na nikienda kwenye hiyo menyu hakuna pakucomferm. msaada kwa jambo hili tafadhali.
naambatanisha na screenshots hizi.