Bodi ya mikopo hili ni tatizo kubwa

Bodi ya mikopo hili ni tatizo kubwa

Wissman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2014
Posts
1,012
Reaction score
1,284
wanafunzi wengi wanaojaza fomu za mikopo wanakumbana na tatizo la kutoweza kuprint form zao baada ya kulog out kisha kuja kuiprint baadae. mimi binafsi nimekumbana na tatizo hilo na hadi sasa hakuna ufumbuzi wowote. nimemsaidia dogo angu kujaza form ya mkopo online nikiwa hom na laptop yangu cha ajabu naenda kuiprint stationary naletewa message "You have One (1) step remaining to complete your application

[h=3] Please check the data you have entered by clicking on the left hand side menu and click Confirm Button [/h]
You have not confirmed Post Form IV Education Information"
tatizo ni nini hasa jamani vijana wanashindwa kumaliza mchakato haraka kwa tatizo hili. mwendelezo ni kwamba nimeshacomferm every steps na nikienda kwenye hiyo menyu hakuna pakucomferm. msaada kwa jambo hili tafadhali.

naambatanisha na screenshots hizi. loans board2.PNGloans board.PNG
 
lazima uklik kama walivyokuelekeza halafu hyouloambiwa hujaikamilisha ifungue then bonyeza confirm
 
kama kuna sehemu haijawa confirmed inakuwa na rang nyekundu nadhan, ukishaconfirm inakuwa ya blue, jaribu kuangalia hzo rang kwenye option ya confirm
 
nimeshacomfirm zote na bado tatizo lipo palepale nimebadili browser zote sijui issue ni nini. atleast ingekua mimi tuu hii issue inawaface watu weng sana.
 
lazima uklik kama walivyokuelekeza halafu hyouloambiwa hujaikamilisha ifungue then bonyeza confirm
nadhani umeona hizo image mbili hapo moja inasema nicomfirm na ya pili ni sehemu yenyewe ninayotakiwa kucomferm na haina sehemu yoyote ya kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom