kwa wale waliokosa mkopo kwa maneno haya ya kibaguzi yaliyotolewa na Bodi ya mikopo...COMPLETED F6 / DIPLOMA MORE THAN 3 YEARS AGO...maswali kwa Bodi kama ifuatavyo:-
(1) kwa nini hamkuweka kwenye vigezo na masharti kwa wanafunzi hawa kabla hawajaomba mkopo?
(2) je pesa zao sh 30000 watarudishiwa au ndo wametapeliwa?
(3) je bodi imefanya uchunguzi kama wanafunzi awa wanauwezo wa kujilipia?
(4) je mbona taasisi zinazotoa mikopo wanaweka vigezo na masharti ili anayeomba asisumbuke na asipoteze muda wake?
(5) Je Bodi ya mikopo inapingana na serikali katika mpango wa ELIMU YA WATU WAZIMA maana kundi hili lililobaguliwa ni watu wazima?
(6) je walimu mashuleni wanatosha maana wengine walionyimwa mkopo wamepangiwa kozi za ualimu?
(7) kwanini watoto wa matajiri wamepewa 100% kundi hili limenyimwa kabisa hawa hawafai kuwa wanafunzi?
(8) je maendeleo ya Elimu yapo kwa waliomaliza F6/Diploma kwa miaka ya hivi karibuni au kwa wote?
(9) Je utaratibu huu upo kisheria au Bodi na watu wake wamejiamria kuwabagua watanzania hawa
(10) je bila mikopo Elimu inapatikana? Tafakari chukua Hatua, Haki elimu