Bodi ya mikopo imekosa ufanisi.

Nkaka

Senior Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
108
Reaction score
16
Nimekuwa nikijiuliza kama kweli kukopa nikulipa ili kuwasaidia wakopaji wengine wapate mikopo,mbona hamkusanyi madeni?
 
Chukua graduates wa 2007 -2012 walioajiliwa serikalin na makampuni wanaolejesha mkopo hawafk hata nusu,tubadil jina la bodi liwe Grant's Board
 
Nimekuwa nikijiuliza kama kweli kukopa nikulipa ili kuwasaidia wakopaji wengine wapate mikopo,mbona hamkusanyi madeni?

Hayo madeni unataka bodi ya mikopo ukusanye kwa watoto wa walalahoi iyapeleke wapi?Tanzania tuna sehemu nyingi sana za kukusanya kodi ila ndiyo hivo kila siku ni misamaha ya kodi plus halmashauri kushindwa kusimamia zoezi la ukusanyaji wa kodi.Wewe unataka wakusanye za wafanyakazi waliosoma kwa mkopo kwa kuwa ni rahisi?Mwalimu wa sekondari anapata msahara TGS D ambayo ni 557000 kabla ya kukatwa kodi ambapo akishakatwa kodi anabaki kama na laki 4.5 hiyo hyo laki 4.5 unataka ikatwe sijui bodi ya mikopo unataka abaki na shilingi ngapi?
 
Nimekuwa nikijiuliza kama kweli kukopa nikulipa ili kuwasaidia wakopaji wengine wapate mikopo,mbona hamkusanyi madeni?

(1) Inawezekana wewe haukupata mkopo! (2) Inawezekana ulipata mkopo lakini wewe unakatwa kila mwezi na mwenzako/wenzako unaowafahamu hawakatwi!
 

Serikali inasamehe trilioni za pesa kwa mwaka. Ni fedha nyingi sana kuliko fedha walizokopa wanafunzi! Wawasamehe hawa wanafunzi waliokopa!
 
Kama bodi ispotukata imekiuka makubaliano ya mkataba natarajia kufungua kesi dhidi ya bodi kwa sababu madogo zangu nao wanahtaj mikopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…