Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuwa nikijiuliza kama kweli kukopa nikulipa ili kuwasaidia wakopaji wengine wapate mikopo,mbona hamkusanyi madeni?
Nimekuwa nikijiuliza kama kweli kukopa nikulipa ili kuwasaidia wakopaji wengine wapate mikopo,mbona hamkusanyi madeni?
Hayo madeni unataka bodi ya mikopo ukusanye kwa watoto wa walalahoi iyapeleke wapi?Tanzania tuna sehemu nyingi sana za kukusanya kodi ila ndiyo hivo kila siku ni misamaha ya kodi plus halmashauri kushindwa kusimamia zoezi la ukusanyaji wa kodi.Wewe unataka wakusanye za wafanyakazi waliosoma kwa mkopo kwa kuwa ni rahisi?Mwalimu wa sekondari anapata msahara TGS D ambayo ni 557000 kabla ya kukatwa kodi ambapo akishakatwa kodi anabaki kama na laki 4.5 hiyo hyo laki 4.5 unataka ikatwe sijui bodi ya mikopo unataka abaki na shilingi ngapi?