HOJA Bodi ya mikopo imekuja na mfumo tofauti, tunapata changamoto kwenye disability form

HOJA Bodi ya mikopo imekuja na mfumo tofauti, tunapata changamoto kwenye disability form

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Bodi ya mikopo imekuja na mfumo tofauti tunapata changamoto kwenye upande WA disability form ukiwa unaomba wanahitaji reference number wakati hizo hatuna tunatumia form kutoka kwa DMO au RMO.

Sasa imekuwa changamoto tunaomba bodi ya mikopo elimu ya juu ibadilishe mfumo wake pili sehemu ya mdhamini Wana tuma code kwa mdhamini code hazifiki leo wiki imeisha tunaomba watusaidie pia kurudisha mfumo WA NIDA tunapata changamoto.
 
Kaka samahani sana hivi private candidate alie faulu pcb form six mwaka huu naye anaweza pewa mkopo, ana miaka 30 alofeli 2016 karudia sahivi kafaulu
 
Back
Top Bottom