Bodi ya mikopo imepeleka Tsh bilioni 122.8 vyuoni

Acha udwanzi. Hawa wakina Magufuli wenyewe wamesoma kwa kodi zetu ila hutakuja kuona hata siku moja stakabadhi ikionesha amerejesha pesa aliyosomea.

Huu haukutakiwa kuwa mkopo ulitakiwa uwe ufadhili. Mkopo hata bank inatoa
 
Usikurupuke soma uelewe
 
Enzi za JK huu upuuzi wa kujisifusifu hata haukuwepo. Eti hela za mkopo nazo watu wanajisifuuuu
 
Hawazitumii au hawatumiwi?
 
RIBA KWA KWENDA MBELEE
 
Mimi kama mzazi nimefurahi sana kwa punctuality ya serikali maana nilikuwa nawaza hela ya mtoto kuanzia maisha mpaka boom litoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…