Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Acha udwanzi. Hawa wakina Magufuli wenyewe wamesoma kwa kodi zetu ila hutakuja kuona hata siku moja stakabadhi ikionesha amerejesha pesa aliyosomea.Then wanamaliza vyuo wanarudi mtaani kuendesha bodaboda,Kodi zetu ndo zimepotea hivo.
Case study pana wanandoa wote wamesoma kwa mkopo mmoja dokta, mwingine Mwalimu.
Mume kawa dereva taxi mke kafunguliwa saloon wameona mda unaenda ajira rasmi hakuna,means taaluma zao si tija kwao wameingia taaluma zingine ili maisha yasonge.Hapa pana zaidi ya milioni 20 Kodi yetu imepotea.
Hivi mfano hio pesa unaweza ukawalipia vijana si chini ya 100 wakapata elimu ya ufundi wakajiajiri tungesaidia Vijana wengi kuweza kupata taaluma kuliko kuwekeza kwa watu 2 ambao awazitumii.
Huu haukutakiwa kuwa mkopo ulitakiwa uwe ufadhili. Mkopo hata bank inatoa