myself scenario JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 347 Reaction score 213 Jul 10, 2015 #1 Kama tittle inavyo someka,hawa wanachuo waliambiwa watapewa mkopo na wakatuma maombi online pia hard copies zikatumwa bodi ya mikopo, tangu mwezi wa pili kimya na hakuna taarifa yoyote..dah noma kweli
Kama tittle inavyo someka,hawa wanachuo waliambiwa watapewa mkopo na wakatuma maombi online pia hard copies zikatumwa bodi ya mikopo, tangu mwezi wa pili kimya na hakuna taarifa yoyote..dah noma kweli