Bodi ya mikopo inataka kuzimisha ndoto zangu sijui nifanyeje

Bodi ya mikopo inataka kuzimisha ndoto zangu sijui nifanyeje

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
wakuu salaam nyingi sana kwenu. Mimi naenda kwenye mada, mwaka jana niliacha chuo baada ya kukosa mkopo ikabidi nirudi home kujipanga upya na nikaaply mkopo mwaka huu huku nikiambatanisha death certificate ya marehemu mzee wangu. Mungu si athumani nilipata chuo kikuu cha private kwa course ya Doctor of Medicine kwenye third round.

Sasa batch zote mbili nimekosa na sasa nimebaki natumbua macho tu. Kama shule nilisoma olevel serikalini chuo changu cha CO ni cha serikali, death certificate ya marehemu baba niliweka sasa sijajua tatizo ni nini
 
Nadhani kuna batch ya 3, maana wanafunzi wengi hawajapata mikopo
 
subiri batch 3
kati ya hayo 1,527 waliobaki huenda nawe umo,
so u juc relax ni swala la muda

sawa mkuu nizidi kuomba Mungu maana hali niliyonayo imejaa wasiwasi sanaaaa
 
Tunakuombea upate lakini uwe tayari kwa lolote lile. Tanzania yetu kwenye haya mambo haitabiriki. All the best.
 
Mkuu nini cheti cha kifo bodi ya mikopo achana nayo ataueke video ya mazishi ukiwa unalia awakuonei huruma Mkuu niliwahi kosa mkopo miaka 3 mfululizo bodi walizima ndoto zangu wauni jamaa kama auna channel pale wa kukushika mkono utasubil mnoo nchi hi mkuu akunaga
 
Back
Top Bottom