E elias emmanuel New Member Joined Sep 19, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Sep 19, 2012 #1 Inakuwaje wanatangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo na aslimia zao afu ukitembelea website yao ni EMPTY!!!:flypig:
Inakuwaje wanatangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo na aslimia zao afu ukitembelea website yao ni EMPTY!!!:flypig:
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,368 Sep 19, 2012 #2 mwanangu karibu jf jisikie uko nyumbani ila inapendeza kwanza ukipitia nyuzi nyingine
sop sop JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 325 Reaction score 35 Sep 19, 2012 #3 mh jaribu kupitia previous thread!
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 Sep 2, 2013 #4 Najua vijana wanasubiria kwa hamu baada ya tcu.
Erick zeph Stanley JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 647 Reaction score 72 Sep 2, 2013 #5 mh kitu kimekula chumvi kumbe,.
Y Young Teacher Senior Member Joined Jul 29, 2012 Posts 186 Reaction score 43 Sep 2, 2013 #6 Mnazingua wazee
J Jackal Malinza Member Joined Aug 28, 2013 Posts 33 Reaction score 4 Sep 2, 2013 #7 kweli mwenyewe sijaona kitu till now halafu watu wanaongelea hiyo ishu mpaka sielewi kitu nisaidieni jamani
kweli mwenyewe sijaona kitu till now halafu watu wanaongelea hiyo ishu mpaka sielewi kitu nisaidieni jamani
N Nyigo Jackson Jn Member Joined Sep 2, 2013 Posts 88 Reaction score 7 Sep 2, 2013 #8 cjaielewa maada au coz mbona hao heslb cjasikia kama wametoa majina?
D Dr.Flav Member Joined Jul 5, 2013 Posts 11 Reaction score 0 Sep 2, 2013 #9 Bado jamani, tuvute subira ila kwa vyovyote September haiishi bila mambo kuwa tayari!
Y Yesar JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 300 Reaction score 17 Sep 2, 2013 #10 Hao ndo hakunaga
C cylivester Senior Member Joined Aug 19, 2013 Posts 150 Reaction score 8 Sep 2, 2013 #11 helbs soon!! On ze way
Erick zeph Stanley JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 647 Reaction score 72 Sep 2, 2013 #12 mpaka week ijayo watakua wamefanya yao