Bodi ya mikopo kutangaza Majina ya wanafunzi waliopata mkopo na asilmia zao

Bodi ya mikopo kutangaza Majina ya wanafunzi waliopata mkopo na asilmia zao

Status
Not open for further replies.

elias emmanuel

New Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Inakuwaje wanatangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo na aslimia zao afu ukitembelea website yao ni EMPTY!!!:flypig:
 
mwanangu karibu jf jisikie uko nyumbani ila inapendeza kwanza ukipitia nyuzi nyingine
 
Najua vijana wanasubiria kwa hamu baada ya tcu.
 
kweli mwenyewe sijaona kitu till now halafu watu wanaongelea hiyo ishu mpaka sielewi kitu nisaidieni jamani
 
Bado jamani, tuvute subira ila kwa vyovyote September haiishi bila mambo kuwa tayari!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom