Idadi kubwa ya wanafunzi wa UDSM hawajalipiwa ada katika vipindi tofauti vya masomo. Na wengi wameshindwa kufanya clearence kutokana na madeni hayo. Bodi wamepelekea invoice toka 3-10-2011, lakini cha ajabu deni halijalipwa na wanafunzi wanalazimika kufatilia wenyewe. Mytake: Bodi fanyeni uungwana mlipe hilo deni ikiwa yalikuwa ni makosa ya kibinadamu, mbali na hivyo mtasababisha matatizo yasiyo ya lazima.