Bodi ya mikopo, mtalipa lini hili deni-754,524,000?

Bodi ya mikopo, mtalipa lini hili deni-754,524,000?

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Idadi kubwa ya wanafunzi wa UDSM hawajalipiwa ada katika vipindi tofauti vya masomo. Na wengi wameshindwa kufanya clearence kutokana na madeni hayo. Bodi wamepelekea invoice toka 3-10-2011, lakini cha ajabu deni halijalipwa na wanafunzi wanalazimika kufatilia wenyewe. Mytake: Bodi fanyeni uungwana mlipe hilo deni ikiwa yalikuwa ni makosa ya kibinadamu, mbali na hivyo mtasababisha matatizo yasiyo ya lazima.
 
Kama haya yana ukweli basi kazi tunayo! Hivi watasoma wanetu kweli kwa mambo haya? Oh! Mungu tunusuru WATZ.
 
Bodi wanajihami sana pale, unaweza ukaishia kuonana na walinzi tu pale
 
Back
Top Bottom