Hello Wanajamvi.. Habari zenu..
Mimi nataka Kuulizia Kuhusu Bodi ya Mikopo je wanaanza Lini kutuma Maombi kwa Njia Ya Mtandao. Mana Kuna Mwanajamvi niliona Amesema Wameshaanza Kuapply toka Tarehe 2 mwezi huu. Ila nilipoingia Kwenye Website yao OLAS naona Hakuna Kitu
Kuna Mwenye Information zaidi anisaidie na kwa Faida ya Wengine pia