Mi nadhani kwa kuangalia uwezo wa wazazi wa mtu,kama wazazi wa mwanafunzi wanauwezo wa kumlipia mwanaye haina haja kuchukua mkopo,tatizo watu walijaza taarifa za uongo kwenye form zao,na rushwa ilitawala ndo maana watoto wa wakulima wenye kipato cha chini kabisa tukakosa mikopo na hatimaye tukabaki mitaani!