Bodi ya mikopo tukumbuken watoto wa wakulima.

Bodi ya mikopo tukumbuken watoto wa wakulima.

Meme.com

Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
23
Reaction score
0
Bodi ya mikopo,napenda kuwapongeza kwa kaz nzur ya kuwasaidia wanafunz wa elimu ya juu kwa kuwapa mikopo ambayo kwa namna 1 ama nyingne inawasaidia wanafunz kugharamia baadh ya gharama mbalimbali. Lakin kiukwel n kwamba lengo lenu la kuwasaidia wanafunz lipo zaid kimatabaka kwan hasa tunaostahl kupata hatupat na wasiostahl ndio wanapata! 2nahtaj mkopo il 2some jaman!
 
maisha magum jaman, kwa cc budget exhausted, ebu angalia wenzetu wamecheleweshewa tu, ila wamehaha na kufulia mpaka huruma, sisi je tusionao kabisa!
 
Wasiostahili unawapima kwa vigezo gani mkuu?
 
Mi nadhani kwa kuangalia uwezo wa wazazi wa mtu,kama wazazi wa mwanafunzi wanauwezo wa kumlipia mwanaye haina haja kuchukua mkopo,tatizo watu walijaza taarifa za uongo kwenye form zao,na rushwa ilitawala ndo maana watoto wa wakulima wenye kipato cha chini kabisa tukakosa mikopo na hatimaye tukabaki mitaani!
 
Back
Top Bottom