Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

kuna dogo yuko udom ye almalza 4m 6 mwaka jana,akapewa 0% ya mkopo,akashndwa kuendelea na masomo,leo hii nae anaambiwa ni previous loanees na wkt hajalamba hata sent tano ya bodi,m2 kama huyu afanyaje sasa?

afanye kama nlivyoshauri kwa sababu bado yupo kwenye database ya heslb, aende UDOM amuone muasibu
 
Hizo batch nyengine lini? Maana naona kalele zinaanza kupungua!
 
Back
Top Bottom