S stan b Member Joined Sep 8, 2011 Posts 85 Reaction score 10 Oct 11, 2011 #21 Senetor said: kuna dogo yuko udom ye almalza 4m 6 mwaka jana,akapewa 0% ya mkopo,akashndwa kuendelea na masomo,leo hii nae anaambiwa ni previous loanees na wkt hajalamba hata sent tano ya bodi,m2 kama huyu afanyaje sasa? Click to expand... afanye kama nlivyoshauri kwa sababu bado yupo kwenye database ya heslb, aende UDOM amuone muasibu
Senetor said: kuna dogo yuko udom ye almalza 4m 6 mwaka jana,akapewa 0% ya mkopo,akashndwa kuendelea na masomo,leo hii nae anaambiwa ni previous loanees na wkt hajalamba hata sent tano ya bodi,m2 kama huyu afanyaje sasa? Click to expand... afanye kama nlivyoshauri kwa sababu bado yupo kwenye database ya heslb, aende UDOM amuone muasibu
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Oct 11, 2011 #22 stan b said: afanye kama nlivyoshauri kwa sababu bado yupo kwenye database ya heslb, aende UDOM amuone muasibu Click to expand... sa akamuone mhasibu wakat alikua na 0% jaman?
stan b said: afanye kama nlivyoshauri kwa sababu bado yupo kwenye database ya heslb, aende UDOM amuone muasibu Click to expand... sa akamuone mhasibu wakat alikua na 0% jaman?
S stan b Member Joined Sep 8, 2011 Posts 85 Reaction score 10 Oct 12, 2011 #23 Senetor said: sa akamuone mhasibu wakat alikua na 0% jaman? Click to expand... akikaa kimya mkopo atakosa, na akiaply mwakani ataambiwa tena PRIVIOUS LOANEES.
Senetor said: sa akamuone mhasibu wakat alikua na 0% jaman? Click to expand... akikaa kimya mkopo atakosa, na akiaply mwakani ataambiwa tena PRIVIOUS LOANEES.
Eshacky JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 965 Reaction score 252 Oct 12, 2011 #24 Hizo batch nyengine lini? Maana naona kalele zinaanza kupungua!