Bodi ya Mikopo; Wapi majibu ya Appeal za Wanafunzi?

Mshangai

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2008
Posts
468
Reaction score
1,086
Kimepita kipindi kirefu kidogo toka wawaambie wanafunzi walionyimwa mikopo ya Elimu ya juu kukata rufaa ili wafikiriwe upya. Na kama kawaida maombi hayo yaliambatana na fee ya shs 5000.
Jambo la ajabu ni kuwa wamekaa kimya bila kutoa majibu kama vile hiyo ni end of story. Wamesahau kuwa vijana hao ni kutoka katika familia masikini na wengine ni yatima na sasa wanaishi maisha ya dhiki huko vyuoni bila serikali kuliona hilo ni kama tatizo. Jee hiyo ndio Big Results Now?
Serikali hii ya Chama cha Mapinduzi inacheza na wapiga kura wake wapya.
 
Mkuu hapo usitegemee tutaanza zilizokatwa zikajibiwa na kupewa majibu. Hapo andikeni imekula kwenu sababu hakuna fursa hata moja hawa Bodies wakaleta majibu. Ile ni mradi wa mabosi wa bodies kujipatia buku 5 kwa kila mlalahoi.
 
mkuu hapo usitegemee tutaanza zilizokatwa zikajibiwa na kupewa majibu. Hapo andikeni imekula kwenu sababu hakuna fursa hata moja hawa bodies wakaleta majibu. Ile ni mradi wa mabosi wa bodies kujipatia buku 5 kwa kila mlalahoi.

haya bhana,,ila ccm saiz atutaki ujinga bwana,,mtu yeyote anayeludisha jitiada za chama,,anapigwa chin tu,,ata mkurugenzi wa bodi,,kiama kitamkuta sio muda mrefu,,chama saiz akitaki utani
 
haya bhana,,ila ccm saiz atutaki ujinga bwana,,mtu yeyote anayeludisha jitiada za chama,,anapigwa chin tu,,ata mkurugenzi wa bodi,,kiama kitamkuta sio muda mrefu,,chama saiz akitaki utani

Jifunze kuandika then urudi kudai mkopo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…