Mshangai
JF-Expert Member
- Feb 16, 2008
- 468
- 1,086
Kimepita kipindi kirefu kidogo toka wawaambie wanafunzi walionyimwa mikopo ya Elimu ya juu kukata rufaa ili wafikiriwe upya. Na kama kawaida maombi hayo yaliambatana na fee ya shs 5000.
Jambo la ajabu ni kuwa wamekaa kimya bila kutoa majibu kama vile hiyo ni end of story. Wamesahau kuwa vijana hao ni kutoka katika familia masikini na wengine ni yatima na sasa wanaishi maisha ya dhiki huko vyuoni bila serikali kuliona hilo ni kama tatizo. Jee hiyo ndio Big Results Now?
Serikali hii ya Chama cha Mapinduzi inacheza na wapiga kura wake wapya.