Mpaka pale Board ya mikopo itakapo chapisha majina ya hao wadaiwa sugu na mwaka waliomaliza na chuo walichosoma na digrii walizosoma, ndo tutaamini hawakua mafisadi
Kuna taarifa kuwa walikuwa wakitoa mikopo hewa kwa wakopaji hewa zikiingia mifukoni mwao
Waweke list ya hayo majina na kiasi wanachodaiwa na ilete total ya hiyo pesa wanadai.Sababu kila jina na kiasi anadaiwa ukijumlisha lazima ilete hiyo jumla, eti fichuwa wadaiwa sugu wanatuona sie wajinga!!!
Wanaogopa kuweka bayana kwa sababu wanajua wana majina hewa wali create na kuyapa mikopo iliyoingia mifukoni mwao Kusema tu watu wafichue ni utapeli,
Wekeni wazi taarifa zao zote kwenye magazeti na Vyombo vya habari ikiwemo website yao, madaiwa sugu hawana faragha mpaka pale atakapo anza kulipa deni.
Pia soma==>> Tusaidiane kufichua wadaiwa sugu wa Bodi ya mikopo