Ila hii nchi kuna wapigaji sana. Halafu upigaji umehalalishwa justified. Kila mahali ni upigaji tu hadi inakera.Kama wameshindwa tender waitowe kwa private company, hao wa kusanya madeni ya benki auction mart wapewe 2% uone kama kuna pesa ambao itapotea.......hao watu wanajilinda tu walishapiga pesa ya ummah kwa mikopo hewa.
mrangi