M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Jul 4, 2024 #21 Covax said: Kama wameshindwa tender waitowe kwa private company, hao wa kusanya madeni ya benki auction mart wapewe 2% uone kama kuna pesa ambao itapotea.......hao watu wanajilinda tu walishapiga pesa ya ummah kwa mikopo hewa. Click to expand... Ila hii nchi kuna wapigaji sana. Halafu upigaji umehalalishwa justified. Kila mahali ni upigaji tu hadi inakera. mrangi
Covax said: Kama wameshindwa tender waitowe kwa private company, hao wa kusanya madeni ya benki auction mart wapewe 2% uone kama kuna pesa ambao itapotea.......hao watu wanajilinda tu walishapiga pesa ya ummah kwa mikopo hewa. Click to expand... Ila hii nchi kuna wapigaji sana. Halafu upigaji umehalalishwa justified. Kila mahali ni upigaji tu hadi inakera. mrangi