KERO Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) inaangamiza watumishi wa umma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
kwa bahati mbaya, wengi walivumilia hadi mkopo ukalipwa wote. dawa ya deni ni kulipa, hakuna namna ndugu.
 
Sure, na me nimeshuhudia watumishi watatu tofauti walioko masomoni wakipokea Tshs. 131,000 kwa mwezi baada ya kuanza kukatwa na HESLB Kabla hata ya kumaliza masomo. Nashauri wangewaacha wamalize masomo kwanza ndo waanze kuwakata
Yeah yani ni mateso na ni kuumizana
 
Mfano mimi sikuwahi kupata mkopo nilisoma kwa kwa msaada wa wizara ya fedha (mof) nikashangaa nakatwa niliwafuata huko nikazingua mbaya wakarudisha kibunda.
Duh
Pole sana Mkuu lakini walirudisha zote
 
Ndo muache kukopakopa ovyo ili muwe na uwezo wa kutunza familia. Sasa unakopaje mpaka kiwango cha mwisho kiasi kwamba hukopesheki tena?

Jifunze kuweka na akiba
Hakuna mtu anapenda hizo hali mkuu ni maisha tu
 
Lipeni medeni hayo na wenzenu wasome sio mnalialia hapa
 
Bila shaka hapana, mifumo yao ilivyosetiwa ni watakata direct kwenye mishahara na Kwa waliojiajiri wanapewa namna ya kudeposit marejesho yao
 
Kabisa kabisa mkuu
 
Wana makando kando mengi sana af yanatuumiza sisi
 
Sheria hairuhusu shida hawawez jua huyu ni mtumishi au sio mtumishi.me jamaa zangu 2019 walipata asilimia 100% wengi tu tena waajiriwa.
Uwezo wa kujua wanao ila hawajaamua bcoz waajiriwa ndo wenye uhakika wa kulipa so ni ngumu kuwaacha na kuchukua freshers tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…