Bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuanza kupeleka fedha za waliokopeshwa vyuoni wiki ijayo

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuanza kupeleka fedha za waliokopeshwa vyuoni wiki ijayo

Joined
Jun 2, 2012
Posts
48
Reaction score
6
Kwa wale mliopewa mkopo mikopo hiyo itaanza kupelekwa vyuoni wiki ijayo tamko kutoka kwa kaimu mkurugenzi akiongea na wbndishi wa Habari jana hivyo ni habari njema ya juweza kupunguza tatizo la ucheleweshwaji wa fedha vyuoni.Aksante
 
At least maana duuu!! mtoto wa mchoma mahindi hapa nilikua nawaza keweli kweli
 
mkasome...sio tuanze gongana viti virefu
hela ndogo sana hyo uspokua na nidham
 
Msisahau kuwa mkopo utapita ktk akaunti za chuo au vyuo mlivyopata halafu wanakata ada yao then mtapewa vyenu na process ya makato ya ada yanaweza chukua mpaka wiki 2 au 3 ,so muhesabu boom kulishika mwezi wa kumi mwishooonni na msisahau kubeka akiba-anyways karibuni ktk ulimwengu wa heslb.
 
Wazazi wote wamestaaafu kudadadeki tena zamaniiiiii kama wakifanya hivyo watanisaidia sanaaa
 
Labda mwaka huu wanataka kuondoa hiyo changamoto maana miaka mingine ilikuwa mchosho kwel.
 
Mwenye kujua transfer ya mkopo inakuwaje jamani? Maana kuna wa2 tuliomba transfe b4 loan haijatoka na badly loan imepelekwa tulipoama
 
Mwenye kujua transfer ya mkopo inakuwaje jamani? Maana kuna wa2 tuliomba transfe b4 loan haijatoka na badly loan imepelekwa tulipoama

transfer y chuo au course within the university...nieleweshe apo mkuu
 
transfer y chuo au course within the university...nieleweshe apo mkuu

kaka nilikuwa chuo A nikawa transfer chuo B, mkopo umeenda chuo A, so naulizia utaratibu wa kuuamisha kwenda chuo B,
nadhani umenipata mkubwa?
 
bado mkuu kwan we ni new comer chuon au?

okay mkuu, nilipangwa ifm nikaomba transfer wamenipeleka saut, so nataka niamishe loan kutoka ifm kwenda saut, ndio ninachouliza,
ndio nategemea kuingia chuo mwaka huu. Hapo napo bado?
 
okay mkuu, nilipangwa ifm nikaomba transfer wamenipeleka saut, so nataka niamishe loan kutoka ifm kwenda saut, ndio ninachouliza,
ndio nategemea kuingia chuo mwaka huu. Hapo napo bado?

unahama ifm unaamia SAUTI???? very strange!!!
ucwaze loan yko itapelekwa saut snc transfer ilihusisha tcu....
 
Back
Top Bottom