Bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuanza kupeleka fedha za waliokopeshwa vyuoni wiki ijayo

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuanza kupeleka fedha za waliokopeshwa vyuoni wiki ijayo

wapeleke haraka ili watu tujipange na tuanze kusoma kwa amani wala si kwa pasi za kijerumani.na hii itapunguza MIGOMO
 
unahama ifm unaamia SAUTI???? very strange!!!
ucwaze loan yko itapelekwa saut snc transfer ilihusisha tcu....

kaka hauwezi jua sababu za msingi zinazomfanya mtu ahame, mwisho wa siku iwe ifm o saut au chuo chochote ni kupata ajira, na uzuri wa mfumo wa ajira ya tz ni kuwa kwenye system, unaweza ukamaliza ifm ukasugua mtaani na mwenzio akamaliza hata open kwa elearning akapa ajira faster,
so kila mtu ana njia yake ya kupata mafanikio atakayo,
kwa hiyo sidhani kama hiyo "very strange" yako ina nguvu
 
Nawatarifu kua muende na fedha zenu,boom huwezi kulipata mara ufikapo mana lazima ufanye registration,mlipie gharama ndogondogo kama bima afya,kitambulisho,na nikua bodi haipeleki fedha chuoni bali majina yaliosainiwa na bodi inaingiza kwe university acont
 
pesa zshapelekwa chuon..mkuu huna taarifa
 
Ok mambo mazuri mana mwaka huu ilikua msaini wapeleke majina,basi nafurahi mana hakuna mateso kama last year
 
Kwa wale mliopewa mkopo mikopo hiyo itaanza kupelekwa vyuoni wiki ijayo tamko kutoka kwa kaimu mkurugenzi akiongea na wbndishi wa Habari jana hivyo ni habari njema ya juweza kupunguza tatizo la ucheleweshwaji wa fedha vyuoni.Aksante
hiyo imekaa poa​
 
Back
Top Bottom