MICHO THOMAS BK
Member
- Jun 2, 2012
- 48
- 6
At least maana duuu!! mtoto wa mchoma mahindi hapa nilikua nawaza keweli kweli
:tea:
Sasa kaka ile mipango yetu itabidi tuitekeleze fasta
Mwenye kujua transfer ya mkopo inakuwaje jamani? Maana kuna wa2 tuliomba transfe b4 loan haijatoka na badly loan imepelekwa tulipoama
Mwenye kujua transfer ya mkopo inakuwaje jamani? Maana kuna wa2 tuliomba transfe b4 loan haijatoka na badly loan imepelekwa tulipoama
Mwakani mkuu,
transfer y chuo au course within the university...nieleweshe apo mkuu
kaka nilikuwa chuo A nikawa transfer chuo B, mkopo umeenda chuo A, so naulizia utaratibu wa kuuamisha kwenda chuo B,
nadhani umenipata mkubwa?
bado mkuu kwan we ni new comer chuon au?
okay mkuu, nilipangwa ifm nikaomba transfer wamenipeleka saut, so nataka niamishe loan kutoka ifm kwenda saut, ndio ninachouliza,
ndio nategemea kuingia chuo mwaka huu. Hapo napo bado?
unahama ifm unaamia SAUTI???? very strange!!!
ucwaze loan yko itapelekwa saut snc transfer ilihusisha tcu....