unahama ifm unaamia SAUTI???? very strange!!!
ucwaze loan yko itapelekwa saut snc transfer ilihusisha tcu....
Nawatarifu kua muende na fedha zenu,boom huwezi kulipata mara ufikapo mana lazima ufanye registration,mlipie gharama ndogondogo kama bima afya,kitambulisho,na nikua bodi haipeleki fedha chuoni bali majina yaliosainiwa na bodi inaingiza kwe university acont
pesa zshapelekwa chuon..mkuu huna taarifa
hiyo imekaa poa​Kwa wale mliopewa mkopo mikopo hiyo itaanza kupelekwa vyuoni wiki ijayo tamko kutoka kwa kaimu mkurugenzi akiongea na wbndishi wa Habari jana hivyo ni habari njema ya juweza kupunguza tatizo la ucheleweshwaji wa fedha vyuoni.Aksante