Bodi ya mikopo ya elimu ya juu na rushwa zake

SINGLE MAN

Member
Joined
Jul 1, 2012
Posts
38
Reaction score
6
Jamani mi nimekosa mkopo, lakini nimeambiwa na rafiki yangualiyekuwa amekosa mkopo kuwa amepata mkopo awamu ya pili kwa kutoa kiasi fulanicha pesa(ruhwa) kwa watumishi wa bodi.Je hii ni haki? vipi wale watoto wa wakulima watatoa wapi hela ya kuhonga, vipi wale wa mikoani watahonga wapi? Halaf bodi mnaweka vigezo ambavyo ninyi wenyewe hamwezi kutekeleza,eti waliomaliza miaka mitatu nyuma hawapati wakati huohuo wengine mmewapa mkopo ambaowalimaliza miaka hiyohiyo. Bodi ijue wazi kwamba wanafunzi, wanafahamiana, wanawasiliana,hawafichani jambo lolote hata wakitumia huo mtindo wa kiwizi wa kutumia namba zao zafomu four.Nawasilisha wana JF,
 

Na wewe katoe upate,ndo uje na jibu sahih
 
Na cha kushangaza kuna watu wamemaliza form four 2005,na diploma 2011,bado familia zao ni tajiri na zinafahamika,sielewi hawa jamaa wanatumia vigezo gani aiseh!
 
acha majungu ...leta ushahidi hatutaki mambo eti rafiki yangu kanambia hapa.Na mwingine akisema rafiki yangu kanambia kuwa ili upate chu kizuri ni lazima utoe hela kidogo utaamini!
 

uliona ile orodha ya watoto wa vigogo wanaodaiwa na bodi na hajalipa?hii na bado ukimaliza chuo na kwenye ajira ni yaleyale taifa letu linaenda kwa ujanja ujanja dawa ni kuondoa huu mfumo wote!
 
hii nchi ndio ya hivi hivi kwamba wenye nacho wanaongezewa na wasiokuwa nacho wanapokonywa hata kile kidogo walichonacho
 
Kumbukeni anayetakiwa kuliokoa Taifa hili ni nyinyi wasomi,sasa tuangalie source ya matatizo ni nin na wap?na tuchukue atua maramoja.sasa tukiendelea kulalamika bila atua ni kazi bule.mfumo mzima wa nchi hii,,unalea mahoovu,,,akuna atua zozote zinazochukuliwa kwa mafisadi,,kama zipo ni zile ambazo meno yake sio makali.mimi nilikuwa bodi siku ya jumatano wiki iliyopita,,,kama una ndugu pale bodi kuingia kueleza shida yako ni issue aisee,,,alafu ukiingia awakusikilizi,,,mfano mimi niliingia kwa nguvu mlinzi alikataa,,nikaingia,ndani pale wakaniambia kama ujaridhika na bodi nenda kwa mkuu wa nchi.sasa majibu kama haya wanatoa wanajiamini nin?na nani anawapa kibuli?sasa hii inamaanisha kwamba wao wenyewewe,wanajua serikali hii aina meno kabisa,,,ni sawa na nyoka aliyeng'olewa meno,ata ukimkanyaga,,,kung'ata ni ndoto.tuombe mungu,,atatusaidia kufika safari hii ndefu.
 
SINGLE MAN....

Tupatie full equiped info. tumshughilikie huyo pimbi anaejifanya anajua kukwakwatua shilingi za walalahoi...

Naamini humu jf wamo maafisa wa pccb...
 
Last edited by a moderator:
waweza ona mjanja leo na kujisifu kwa kufanya hivo lakini kumbuka maisha yaweza badilika mda na wakati wowote uwe na huruma kwa watota wa wakulima,wafugai, walimu n.k

nilicho manisha nikuwa umeandika baada ya kusikia lakini ingependeza kama ungenusa mtandao mzima alafu uje utueleze hapa tena kwa majina kabisa,sijakujibu vibaya kama ulivyo manisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…