SINGLE MAN
Member
- Jul 1, 2012
- 38
- 6
Jamani mi nimekosa mkopo, lakini nimeambiwa na rafiki yangualiyekuwa amekosa mkopo kuwa amepata mkopo awamu ya pili kwa kutoa kiasi fulanicha pesa(ruhwa) kwa watumishi wa bodi.Je hii ni haki? vipi wale watoto wa wakulima watatoa wapi hela ya kuhonga, vipi wale wa mikoani watahonga wapi? Halaf bodi mnaweka vigezo ambavyo ninyi wenyewe hamwezi kutekeleza,eti waliomaliza miaka mitatu nyuma hawapati wakati huohuo wengine mmewapa mkopo ambaowalimaliza miaka hiyohiyo. Bodi ijue wazi kwamba wanafunzi, wanafahamiana, wanawasiliana,hawafichani jambo lolote hata wakitumia huo mtindo wa kiwizi wa kutumia namba zao zafomu four.Nawasilisha wana JF,