Kulingana na shida mbalimbali za watumishi wamekua wakiuza madeni yao ta bodi benk tofauti tofauti,miaka ya nyuma bodi iliweka kiwango cha juu na kulipwa na bank mfano NMB,
Inapolipwa bodi inakuja na statement ya kiasi unachodai kama ziada iliyolipwa na bank NMB au CRDB,Kisha inakwambia andika barua tukurefund,matokeo yake watu hawalipwi hizo fedha zinakua za kuhangaikia sanq,
Mfno bodi nimeilipa tangu 2019 naidai kama laki sita (600000),nimeandika Hadi kwenye mfumo kwa maelekezo ya brach manger wa mwanza Hadi Leo hakuna kinachoendelea Wala kulipwa fedha hiyo Hadi password za register as user imesaulika,
Yani mtumishi anatoka Geita wilayani anakuja mwanza anafuatilia malipo Leo miaka karibu 07,mmekaa na fedha yake hii siyo haki hata kidogo,
Yani mtu anatoka bukombe kwenda mwanza hamna majibu anajaza kwenye mfumo hakuna majibu tukidai faida ya kukaa na hela ya mtu miaka yote Saba,mbona za kwenu Zina riba ?
Wakati serikali inahangaika kurejesha mahusiano na watumishi na wananchi nyie manavuruga Yani mnataka hii nchi tuishije sasa aisee ,Yani kila Kona kunapararize,isaidieni hii nchi Kwa uandilifu mkubwa aisee