Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii inamaanisha request haijawa processed ndo maana maombi yapo pending je ikifika j3 tar 4 ambayo ni muda wa kuappeal tunafanyaje na account inasoma tusubiri ,tupewa taarifa ya kueleweka maana wapo stranded na wengi washaanza masomo….
2. Kama hawapiti mkopo tuambiwe mapema