Mwaka 2015 tulikiwasha udsm tukiongozwa na Venance Shitindi, waziri wa Mikopo, Kitaponda Rais wa Daruso,na Irene Ishengoma Makamu wa Rais Daruso.
Kiongozi wa maandamano hayo alikuwa Venance Shitindi,
Tulimwagiwa majiwasha, kupigwa virungu lakini lengo lilifikiwa.
Hayo ndio yalikuwa maandamano ya mwisho katika vyuo vikuu hapa Tanzania.
Hakuna wa kuwapazia sauti zaidi ya ninyi wenyewe.
Vijana wa miaka Kati ya 18-35 mnataka Sisi wazee ndio tuwapiganie?