Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu yatoa mwongo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22

Mchokozi wa mambo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
201
Reaction score
159
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha mfumo wa maombi utafunguliwa tarehe 05/07/2021.

karibu hapa nimekuwekea pakua usome lakini pia ukiwa na swali lolote kuhusiana na taratibu zote uombaji uuliza nitakujibu.
 
Attachments

Nimeona kwa waombaji wenye diploma wanatakiwa wawe wamehitimu diploma miaka isiyozidi mitano nyuma, na ikatajwa 2017-2021.

Je mtu aliyemaliza diploma june 2016 anaweza kupata? Hesabu yangu inaniambia miaka mitano nyuma inagota 2016.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnona kwenye VRF wamekaa kimya mpaka sasa
Na vipi makato ya mwezi 6 bila kuoungua kwa deni mbona wamepiga kumya tuu
 
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha mfumo wa maombi utafunguliwa tarehe 05/07/2021.

karibu hapa nimekuwekea pakua usome lakini pia ukiwa na swali lolote kuhusiana na taratibu zote uombaji uuliza nitakujibu.
Mzee umepost tu tuone umepost au umekipitia ulichopost kabla kupost?
 
Back
Top Bottom