Mchokozi wa mambo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 201
- 159
HapatiNimeona kwa waombaji wenye diploma wanatakiwa wawe wamehitimu diploma miaka isiyozidi mitano nyuma, na ikatajwa 2017-2021.
Je mtu aliyemaliza diploma june 2016 anaweza kupata? Hesabu yangu inaniambia miaka mitano nyuma inagota 2016.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee umepost tu tuone umepost au umekipitia ulichopost kabla kupost?Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha mfumo wa maombi utafunguliwa tarehe 05/07/2021.
karibu hapa nimekuwekea pakua usome lakini pia ukiwa na swali lolote kuhusiana na taratibu zote uombaji uuliza nitakujibu.
Sorry nilikosea wakati wa kuweka attachmentMzee umepost tu tuone umepost au umekipitia ulichopost kabla kupost?
Kimeumanaa au?Ukuda ulio jaa humo kwa watu wenye diploma sina hamu nao