kiasi anachodaiwa kwenye hiyo mil 7 toa mil 2 ya ada ya mwaka wa kwanza na wa pili.ambazo hazikulipwa.kuhusu kuajiriwa,jina lake lilitoka kama wengine,na alipangiwa na wizara akaripoti bukoba vijijini,akaenda kuripoti,ila mkurugenzi akakataa kumpangia kituo hadi awe na transcript,ambazo zilikuwa bado kutolewa wakati huo.alipoomba chuoni provisional result,ndipo akaambiwa habari za deni na kunyimwa,so bkb vijijini wakasema hawawezi kumpangia kituo.juu ya sarakasi za ajira hii nalo lina utata wake pia tutamwaga hapa wakati mwingine,bado tunatafuta vielelezo