Bodi ya mikopo yatangaza rasmi wameachia majina ya wanafunzi na mikopo yao.

kulala lazima kwani ukiyakuta hayo majina kesho utakuwa umepungukiwa nini wewe?

Kulala lazima umesema wewe!! pia kukesha mimi kwangu sio jambo la kushangaza ni kawaida tu, sa ka vp lala tu mkuu
 
Hukuwa na sababu ya kusema "Breaking News"
 
Ngoja nikapunguze pressure palee santiago bernabeu tukutane kesho wakuu
 
[h=3]Who's Online[/h] We have 524 guests online
[h=3]Quote of the Day[/h] Be Responsible; repay your higher education loan.

Pressure inapanda,pressure inashuka.Tulale wadau kama ipo ipo tu.wadau 525 wako macho muda huu wanaikodolea HESLB.
 
chezea chezea compyuta kila ktu kipo umo umo,msilale watoto wazur,huu mwaka mbona wetu,I LUV U HESLB
 
nakwambia hivi,ukitoka online ya HESLB leo,huipat tena mpaka mItoNDOgooo,kama kifurush chako kinaisha sa sita utajiju!Lakin kesho tuckimbiane humu!kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…