Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kulala lazima kwani ukiyakuta hayo majina kesho utakuwa umepungukiwa nini wewe?
Hukuwa na sababu ya kusema "Breaking News"Nimemuona mkurugenzi wa bodi ya mikopo kupitia taarifa ya habari Chanel 10 akitangaza idadi ya wanafunzi ambao wamewapa mkopo na kusisitiza wanafunzi watembelee websit ya bodi ili waone % zao walizopata.bt binafsi nimeingia kwenye websit ya bodi sijaona kitu.Nadhani watakuwa wanarekebisha kitu flan.
kulala lazima kwani ukiyakuta hayo majina kesho utakuwa umepungukiwa nini wewe?
yeraaah !! Leo nakesha kama POPO
qubababakeh!wanasema IFM hakuna mkopo mbna mganga wangu kaniambia nimepata!
Kijana wacha chesea hii habari, halali mtu hapa
we si ulisema ni mpka September 1-3 au nimekufananisha??