Bodi ya mikopo yatangaza rasmi wameachia majina ya wanafunzi na mikopo yao.

Bodi ya mikopo yatangaza rasmi wameachia majina ya wanafunzi na mikopo yao.

Wakubwa fanyeni kusubir wakiweka muya2pie jf nimechoka kichwa kizito xana man city wameniangusha mbaya,

mmmmhhhhhhhh na wewe umo karibu sana kule sports..

xxxxxxxxxxxxx============xxxxxxxxxxxxx

unaweza kufa bure na bora siku bet!
 
bongo bhana kumbukeni kurudisha ndio noma na lazima urudishe kwaiyo tuwe makini na utumiaji

Usipokufa lazima kurudisha kama ulipewa, haijalishi ulitumiaje. Kutumia vizuri ni muhimu ili usiwasumbue watu.
 
bots ni nini?

ki mtandao bots ni watu ambao wana share vitu kwa njia ya internet katika website au chanel flan. mfano watu wanao cheza Games online wanaitwa bots
 
Kwani ni nini hiyo mkuu?

kirefu ni Internet Protocol ambayo inatumika kugawa access ya internet kwenye kifaa chako, watundo wa mambo za internet wakipata IP yako wanaweza fanya kitu mbaya hadi ukashangaa
 
hIYO NI TAARIFA YA TANGU JANA. HAO JAMAA WA BODI NI WAHUNI. WANATAKA KUTULIZA TU!
 
labda kufikia leo jioni yatakua tayari!

mkuu epuka kuish kwa probability,maisha yakusema labda kesho,jion, mwaka ujao ni kama umwemwomba Mungu usiyejua yuko wapi,lkn wa2 wako turdo na 2nawajua kwanin usihoji? Wako pale kwa ajili yako,mm,yule lzm 2jue lini wanatoa spesific cyo kuzuga then unaficha aibu yao kwa kusema majibu ya labda,labda.
 
mna papatiiika na mikopo utadhani mnapewa mamilioni kumbe vipesa vya madafu tu.
 
Back
Top Bottom